Tag: mauaji
Adaiwa kumuua Mshaki baada ya kumfumania na mkewe
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamsaka Bagandosa Silas Menelo kwa tuhuma za mauaji ya Elias Martine Mshaki (23), mkazi wa kijiji ...Polisi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji Dodoma
Mkazi wa Kitongoji cha Mgomwa, Kata ya Matumbulu jijini Dodoma, Frank Sanga (32), amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa risasi na askari ...Mume ashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, chanzo mgogoro wa kifamilia
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia James Lugembe (55), mkazi wa Kitongoji cha Manzese B, Kata ya Mkwatani, Wilaya ya Kilosa, kwa ...Watu watano washikiliwa kwa tuhuma za mauaji Tabora
Jeshi la Polisi linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya Castory Casian Madembwe, mtumishi wa TAASAF na mkazi wa Ipuli mkoani ...Mwanachuo ashikiliwa kwa mauaji ya mwenzake kisa ulevi
Polisi mkoani Mbeya wanamshikilia Emilian Duzu (21) mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kwa ...Askari watatu, mgambo mbaroni kwa mauaji Tabora
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linawashikilia askari watatu wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) pamoja na mgambo wanne kwa tuhuma za kusababisha ...








