Tag: mauaji
Watuhumiwa 15 mbaroni kwa mauaji ya wafugaji Tunduma
Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kupambana na Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini linawashikilia watuhumiwa 15 waliohusika katika tukio la mauaji ya ...Spika Tulia ahoji umuhimu wa Polisi kutangaza matukio ya mauaji ya raia
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameishauri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Jeshi la Polisi kudhibiti taarifa za matukio ...Mtuhumiwa wa mauaji Kenya ashinda ubunge
Mwanasiasa anayetuhumiwa kwa mauaji nchini Kenya, Didmus Wekesa Barasa ametetea kiti chake cha ubunge kwa tiketi ya chama cha United Demokratic Alliance. ...Mtuhumiwa wa mauaji wa kukodi auawa na polisi
Mtuhumimiwa wa mauaji ya kukodiwa, Heleni Nyankole maarufu Beberu (36), Mkazi wa Kijiji cha Kapanga wilayani Tanganyika ameuawa kwa kupigwa risasi na ...Takwimu: Wanawake wanaongoza kuuliwa na wenza wao
Kituo cha Sheria na Haki za binadamu (LHRC) kimesema takwimu zinaonesha kwa mwaka 2021 matukio ya mauaji kwa wenza, wanawake wanaongoza kuuliwa ...Wananchi wachoma moto nyumba ya mwenyekiti kwa madai anawaonea
Wananchi wa Kitongoji namba 2, Kata ya Mwakitolyo Wilaya ya Shinyanga wamechoma nyumba ya Mwenyekiti wa kitongoji hicho, Shabani Zoro na kuvunja ...