Tag: maziwa
Serikali: Viwango vya unyonyeshaji maziwa ya mama kwa watoto nchini vimeongezeka
Serikali imesema viwango vya unyonyeshaji wa watoto nchini vimeendelea kuimarika ambapo asilimia ya watoto wanaonyonyeshwa maziwa ya mama pekee imeongezeka kutoka asilimia ...Mtaalam: Ukiathiriwa na sumu usinywe maziwa, njoo hospitali au tupigie simu
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imeitaka jamii kwenda hospitali au kuwasiliana na Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Matukio ya ...Elimu muhimu kuhusu unywaji maziwa na umezaji dawa
Chanzo kikuu cha mwingiliano wa dawa na maziwa ni madini yaliyomo katika maziwa yajulikanayo kwa jina la kitaalamu kama ‘Calcium.’ Katika mwili, ...Wanaume wanaotafuta ‘six pack’ watahadharishwa kuota matiti
Wataalamu wa afya nchini wamewaonya wanaume wanaotumia dawa mbalimbali (supplement) kujenga au kukuza mwili ‘six pack’ ili kupata mvuto wa kimaumbile. Kwa ...Aina 6 za vyakula vya kuepuka unapotumia dawa
Baadhi ya watu wamekumbana na madhara mbalimbali au hata kifo baada ya kutumia vilevi na baadhi ya vitu ambavyo havishauriwi kuchanganya wakati ...







