Tag: mchungaji
Mchungaji akamatwa akiwa na nyoka kwenye begi
Polisi katika Kaunti ya Busia nchini Kenya wamemkamata mwanaume aliyejulikana kwa jina la Fanish Ramsey Maloba mwenye umri wa miaka 26 baada ...Mchungaji afariki akijaribu kufunga siku 40 kama Yesu
Mchungaji mmoja nchini Msumbiji amefariki dunia baada ya kufunga kwa siku 40 bila kula akijaribu kufikia rekodi iliyofikiwa na Yesu Kristo kwenye ...Mchungaji adaiwa kumtorosha mke wa muumini, ampangishia nyumba
Mchungaji Edwin Taji wa Kanisa la Anglicana, Yombo Kiwalani jijini Dar es Salaam anadaiwa kusimamishwa kutoa huduma ya kichungaji baada ya kudaiwa ...Mama na binti yake wakamatwa wakicheza kwenye kaburi la mchungaji
Mama na binti yake mdogo anayesoma darasa la sita, wamenusurika kuuliwa na watu wenye hasira kali baada ya kudaiwa kunaswa wakicheza kwenye ...Mwili wa Mchungaji wahifadhiwa mwaka mzima wakingojea afufuke
Mwili wa Mchungaji Siva Moodley mwanzilishi wa The Miracle Center kaskazini mwa Johannesburg nchini Afrika Kusini umesalia kwenye chumba cha kuhifadhi maiti ...Mchungaji jela miaka 30 kwa kumbaka mwanafunzi
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Jimbo la Chalinze Dayosisi ya Morogoro, Boniface Mgalula amehukumiwa kwenda jela miaka 30 ...