Tag: Mfalme Zumaridi
Mahakama yatengua hukumu ya Mfalme Zumaridi
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imetengua hukumu ya kifungo cha miezi 12 aliyopewa Diana Bundala (Mfalme Zumaridi) na wenzake nane baada ya ...Mfalme Zumaridi ahukumiwa mwaka mmoja jela
Diana Bundala maarufu ‘Mfalme Zumaridi’ amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza baada ya kumkuta ...Wafuasi wa Zumaridi ‘wamsaliti’ gerezani
Wafuasi wa mshtakiwa Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi, anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha binadamu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mkoa ...Wafuasi 40 wa Zumaridi waliokataa dhamana, leo wakubali na kuachiwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imewaachia kwa dhamana washtakiwa 40 kati ya 85 wa kesi namba 12/2022 inayomkabili Diana Bundala ...