Tag: milioni 10
Amdanganya mume kuwa ametekwa ili atume milioni 10
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia Loveness Kisile (30) mkazi wa Mtaa wa Temeke, Kata ya Mhandu Wilaya ya Nyamagana kwa tuhuma ...WHO yasema zaidi ya milioni 10 wanaweza kuambukizwa HIV baada ya Marekani kusitisha misaada
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha uwezekano wa maambukizi mapya ya HIV zaidi ya milioni 10 na vifo vya watu milioni 3, ...Mkulima Singida aibuka na Mil. 10/- za NMB Pesa Weka na Ushinde
KAMPENI ya Weka Akiba, Tumia na Ushinde kwa wateja wa akaunti nafuu, rahisi na salama ya NMB Pessa iliyokuwa na zawadi zenye ...Rais Samia apandisha dau magoli ya Simba na Yanga hadi milioni 10
Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi milioni 5 hadi shilingi milioni 10 ...Rais Samia aahidi kutoa milioni 10 kwa kila goli Taifa Stars
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa TZS milioni 10 kwa kila goli litakalofungwa na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuanzia ...Atakayebadilisha, kufichua taarifa binafsi faini milioni 10
Katika udhibiti wa ufichuaji taarifa binafsi sheria inayopendekezwa inaeleza kuwa mtu ambaye atabainika kuharibu, kufuta, kupotosha, kuficha au kubadilisha taarifa binafsi kinyume ...








