Tag: mitandaoni
Wasira: Hakuna uhuru wa kutoa maoni kwa kutukanana mitandaoni
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema hakuna uhuru au demokrasi ya kutukana mitandaoni na wala hakuna uhuru usio ...Asilimia 4 ya watoto nchini wanafanyiwa ukatili mitandaoni
Matokeo ya utafiti wa kujua kiwango cha ukatili dhidi ya watoto kupitia mitandao (online child abuse) wa mwaka 2022, umebainisha asilimia 67 ...Wazazi wanaosambaza video za watoto mitandaoni waonywa
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amewataka wazazi kuacha mara moja tabia ya kuweka picha na video za watoto kwenye mitandao ...Serikali kuchukua hatua video ya wanafunzi inayosambaa mitandaoni
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Adolf Mkenda amesema Serikali inaendelea kufuatilia utovu wa nidhamu uliofanywa na baadhi wa wanafunzi wa shule ...Eng. Hersi akanusha kuwakashifu Yanga kuhusu ulaji mihogo
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amewataka wanachama na wapenzi wa klabu hiyo kupuuza kauli inayosambaa mitandaoni inayotumika kuwakejeli baadhi ...RC Makalla awaonya wanaosababisha hofu mitandaoni kuhusu panya road
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewaonya baadhi ya wananchi wanaotoa taarifa za uongo kuhusu uhalifu unaofanywa na vijana ...








