Tag: Miundombinu
Siku 100 za Rais Samia: Serikali yaweka historia ujenzi wa miundombinu
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imekamilisha miradi 40 ya madaraja ya dharura kati ya 81, ikiwemo ...Serikali kuboresha miundombinu ya barabara kurahisisha usafirishaji
Serikali imetangaza mpango wa kuboresha miundombinu ya usafirishaji wa njia ya barabara unaojulikana kwa jina la Expressways Master wenye lengo la kurahisisha ...Serikali yatoa bilioni 230 za ujenzi wa miundombinu ya shule za msingi
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imepeleka kiasi cha shilingi bilioni 230 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati ...Makampuni ya kimataifa kuwekeza kwenye miundombinu nchini Tanzania
Kampuni ya huduma za majini AD Ports Group imesaini Mkataba wa Maelewano (MoU) na Adani Ports na SEZ Ltd, kampuni kubwa kwenye ...






