Tag: mkataba
Tanzania na Somalia zasaini mkataba kubadilishana wafungwa
Serikali ya Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Somalia zimesaini mikataba miwili ya makubaliano ya kushirikiana na katika masuala ya Ulinzi na ...DP World yaongezewa mkataba upanuzi Bandari ya Maputo
Msumbiji imeidhinisha mkataba mpya kwa kampuni ya DP World Ltd. na Grindrod Ltd. kuendesha bandari yake kubwa huko Maputo hadi mwaka 2058, ...Yanga yagoma, yamtaka Fei Toto aripoti kambini haraka
Klabu ya Yanga imesema imemwandikia barua mchezaji Feisal Salum ya kumtaka aripoti kambini haraka iwezekanavyo na kuendelea kuutumikia mkataba wake kama mchezaji ...Fei Toto apeleka TFF ombi kuvunja mkataba na Yanga
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Feisal Salum (Fei Toto) amefika katika ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) akiwa na ...Diamond afichua kiasi ambacho Zuchu atalipa akisitisha mkataba WCB
Msanii wa muziki na mmiliki wa lebo ya Wasafi, Diamond Platnumz amefichua kuwa endapo msanii wake Zuchu atasitisha mkataba wake katika lebo ...Diamond aeleza sababu ya kuchukua 60% ya mapato ya wasanii WCB
Kufuatia kuondoka kwa Rayvanny wiki mbili zilizopita, ambaye alilazimika kulipa TZS bilioni 1 ili kununua sehemu iliyobaki ya mkataba wake wa miaka ...