Tag: mke
Mume amuua mke na kisha kujiua akidai mke anamsaliti
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limesema mwanamke aitwaye Maria Salavatory ameuawa baada ya kupigwa na kitu butu kichwani na kuchomwa na ...Akiri kumuua mkewe kwa kuchelewa kurudi nyumbani
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Chimaguli Samamba (54), mkulima na mkazi wa Ugede- Songambele kwa tuhuma za kumuua mke wake ...Mke ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mume wake akishirikiana na hawara
Jeshi la Polisi Mkoani Songwe linamshikilia mke na hawara yake kwa tuhuma za mauaji ya mumewe, Victor Mwakapenda (41) mkazi wa Mtaa ...Alichosema Khadija Kopa kuhusu uhusiano wa Diamond na Zuchu
Mwanamuziki Khadija Khopa ambaye pia ni mama wa msanii Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’ amesema haoni ajabu kwa mwanaye kuitwa mke na msanii ...Jinsi ya kukabiliana na mke mwenye hasira na kisirani
Kuna sababu nyingi zinazosababisha mtu akajawa na hasira na kisirani. Washauri wa mambo wanasema usirudishe hasira kwa hasira badala yake dhibiti hisia ...Mchungaji adaiwa kumtorosha mke wa muumini, ampangishia nyumba
Mchungaji Edwin Taji wa Kanisa la Anglicana, Yombo Kiwalani jijini Dar es Salaam anadaiwa kusimamishwa kutoa huduma ya kichungaji baada ya kudaiwa ...








