Tag: mkewe
Adaiwa kumuua Mshaki baada ya kumfumania na mkewe
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamsaka Bagandosa Silas Menelo kwa tuhuma za mauaji ya Elias Martine Mshaki (23), mkazi wa kijiji ...Mume ashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, chanzo mgogoro wa kifamilia
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia James Lugembe (55), mkazi wa Kitongoji cha Manzese B, Kata ya Mkwatani, Wilaya ya Kilosa, kwa ...Achomwa moto kwa madai ya kumuua mkewe, kumpika vipande na kuwapa watoto
Mwanamume mmoja nchini Kenya aliyejulikana kwa jina la Stephen Onserio (50) amechomwa moto hadi kufa na wananchi wenye hasira kali kwa madai ...Mume adaiwa kumuua mkewe na kumzika chumbani
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamfuatilia mkazi wa Manispaa ya Tabora (ambaye jina lake limehifadhiwa) anayedaiwa kumuua mkewe na kumzika kwenye shimo ...Amuua mkewe baada ya kuambiwa mtoto si wake
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina Abdallah anatafutwa na Jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kumuua mkewe, Pili Mang’ota (38) mkulima ...Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani
Mwalimu wa shule ya Sekondari Jijini Mbeya, Julieth Kabuja (32) ameieleza Mahakama ya mwanzo Mkoani hapo kuwa ni bora ndoa yake ivunjike ...








