Tag: mkutano
CEO NMB ashiriki mkutano wa Benki ya Dunia, akutana na Rais wa taasisi hiyo
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna ameshiriki uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Benki ya Dunia (IDA20 Mid Term ...Afrika Kusini kununua umeme kutoka Tanzania
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema Afrika Kusini inafikiria kununua umeme kutoka nchini Tanzania ili kusaidia katika kutatua tatizo la nishati ...Rais Samia: Wanasheria iangalieni kwa uzito DRC
Rais Samia Suluhu Hassan ameikiagiza Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki (EALS) kuiangalia kwa upana nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambayo ...Dkt. Mpango kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Marekani
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini New York nchini Marekani ambapo anatarajia kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika ...Tanzania kunufaika na mkutano wa utalii
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana amesema Tanzania inatarajia kunufaika na fursa mbalimbali zitakazotokana na Mkutano wa 65 wa Shirika ...