Tag: moto
Nyumba ya Askari Polisi yachomwa moto na wasiojulikana Songwe
Watu wasiojulikana wameteketeza kwa moto nyumba ya Mkaguzi wa Polisi Nsajigwa Mwajeka, ambaye ni Polisi Kata wa Kata ya Chitete, Wilaya ya ...Watu 18 wafariki baada ya moto mkubwa kuzuka Korea Kusini
Takriban watu 18 wamepoteza maisha na wengine 19 kujeruhiwa kutokana na moto mkubwa uliozuka Mashariki mwa Korea Kusini, huku zaidi ya watu ...Moto wazuka Mlima Kilimanjaro
Moto ambao chanzo chake bado hakijajulikana umezuka katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro na kuzua taharuki kwa wakazi wa mji wa Moshi. Akizungumza ...Wahamiaji 14 wamefariki baada ya boti kushika moto
Takribani wahamiaji 14 wamefariki baada ya boti waliokuwa wakisafiria kuungua moto Kusini mwa nchi ya Senegal. Mamlaka nchini humo zimesema zimefanikiwa kupata ...Namna ya kuzuia athari za mlipuko utokanao na gesi ya majumbani
Gesi ni nzuri kwa matumizi ya nyumbani, kwa sababu ni haraka zaidi kwa kupikia. Pamoja na uzuri wake, pia ni hatari kama ...







