Tag: mpenzi wake
Binti auawa baada ya kwenda kumtembelea mpenzi wake Nairobi
Familia moja katika Kijiji cha Kirima, eneo la Ngaru, Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya imepatwa na mshtuko mkubwa baada ya binti yao ...Mwanariadha wa Uganda achomwa moto na mpenzi wake
Mwanariadha wa nchini Uganda, Rebecca Cheptegei (33) amelazwa katika hospitali moja nchini Kenya, baada ya kudaiwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto na ...Amuua mpenzi wake, akatakata viungo na kuvitupa
Jeshi la Polisi linamshikilia Abdalla Miraji Mussa (42) mkazi wa Sinza kwa Remmy, Dar es Salaam kwa kumuua mwanamke aitwaye Ezania Kamana ...Anayedaiwa kumchoma kisu mpenzi wake asomewa mashitaka akiwa wodini
Said Selemani (32), mkazi wa Arusha akiwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza ya Sekou Toure, amesomewa shitaka la ...Thabo Bester na Dkt. Nandipa warejeshwa Afrika Kusini
Tanzania imerejesha Thabo Bester maarufu ‘Mbakaji wa Facebook’ aliyekamatwa jijini Arusha baada ya kutoroka gerezani nchini Afrika Kusini kwa kudanganya kuhusu kifo ...Ang’atwa ulimi na mpenzi wake wakijamiiana usiku
Swahili Times · Ang’atwa ulimi na mpenzi wake wakijamiiana usiku Gembe Singu (32) mkazi wa kijiji cha Mwamakalanga wilayani Shinyanga ...