Tag: Mpina
Mahakama yatupilia mbali kesi ya Luhaga Mpina
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mwanachama wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina pamoja na ACT- ...Kesi ya kupinga Mpina kuenguliwa kugombea Urais kusikilizwa Septemba 29
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma imetoa amri ya kusikiliza kesi ya Luhaga Mpina na chama cha ACT Wazalendo dhidi ya ...Serikali yapewa siku tano kujibu madai ya Mpina
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma imeipa serikali siku tano kujibu madai yaliyotolewa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina juu ya ...Tume ya Uchaguzi yamtaka Mpina asirudishe fomu ya kugombea Urais wa Tanzania
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimepokea barua kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikielekeza kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ...Suala la Mpina kugombea Urais kupitia ACT Wazalendo laibua mapya
Sakata la uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea Urais wa chama cha ACT- Wazalendo limeendelea kushika kasi baada ya Naibu Mwenezi wa ...Mpina na wengine wapendekezwa kugombea urais ACT Wazalendo, Semu ajitoa
Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imewapendekeza wanachama wake Aaron Kalikawe na Luhaga Mpina kuwania kugombea nafasi ya urais wa Tanzania. ...







