Tag: mtoto
Mtoto afariki akidaiwa kupigwa na bibi yake Shinyanga
Mtoto Sofia Ndoni (3) amefariki dunia kwa madai ya kushambuliwa kwa kipigo kwenye sehemu mbalimbali za mwili wake kwa fimbo na mpira ...Polisi wamsaka mwanamke aliyemnywesha pombe mtoto
Jeshi la Polisi limesema linamsaka mwanamke aliyeonekana kwenye picha mjongeo inayosambaa katika mitandao ya kijamii akimhamasisha na kumnywesha pombe mtoto. Taarifa iliyotolewa ...Ahukumiwa jela maisha kwa kubaka na kumlawiti mtoto wa miaka sita
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, imemhukumu Shabani Mohamed (27), mkazi wa Mchangani, kifungo cha maisha gerezani baada ya ...Wizara ya Afya yatoa ufafanuzi mzazi aliyedai kubadilishiwa mtoto hospitalini
Kufuatia taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mama aliyejifungua kwa upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha kudai kubadilishiwa ...Akiri kumbaka mtoto wa miaka mitano, adai ni shetani alimpitia
Mahakama ya wilaya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu Nicholaus Paulo Kidoganya (21) mkazi wa Kijiji cha Nyehunge, kifungo cha miaka 30 jela baada ...Kijana wa miaka 20 ahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti ndugu yake
Mashauri Ng’oga Shauri (20) mkazi wa kitongoji cha Mwankuba, kijiji cha Nyambiti, Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, amehukumiwa kifungo cha maisha jela ...








