Tag: mtoto albino
Padri anayedaiwa kuhusika kwenye mauaji ya mtoto albino asimamishwa kutoa huduma za kiroho
Jimbo la Katoliki la Bukoba limemsimamisha huduma za kichungaji, Padri Elipidius Rwegoshora anayedaiwa kuhusika katika mauaji ya mtoto albino, Asimwe Novart mpaka ...