Tag: mtoto
Kijana wa miaka 20 ahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti ndugu yake
Mashauri Ng’oga Shauri (20) mkazi wa kitongoji cha Mwankuba, kijiji cha Nyambiti, Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, amehukumiwa kifungo cha maisha jela ...Mwanamke akiri kuua mtoto wa miaka 12 Arusha
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma (12) mkazi wa kwa ...Ashikiliwa kwa tuhuma za kumnyonga mtoto wa miaka saba
Mwanaume mmoja mkazi wa Kijiji cha Mahango wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumfanyia ...Mtoto wa miaka 16 aiba mtoto wa miezi 9
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia binti mwenye umri wa miaka 16, aliyefahamika kwa jina la Maduki Sabuni mkazi wa Imalanguzo Ushirombo ...Mtoto ashikiliwa kwa tuhuma za kumlawiti mwenzake Njombe
Kamanda wa Polisi mkoani Njombe, Mahamoud Banga amesema Jeshi la Polisi mkoani humo linamshikilia mtoto wa miaka 12 kwa tuhuma za kumlawiti ...Mtoto wa miaka 14 ashikiliwa kwa tuhuma za kubaka na kulawiti watoto
Jeshi la Polisi linamshikilia mtoto wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) mkazi wa Kijiji cha Mnete, kilichopo Kitongoji cha Chiano, Kata ya Nalingu, ...