Tag: mtoto
Mtoto wa miaka 14 ashikiliwa kwa tuhuma za kubaka na kulawiti watoto
Jeshi la Polisi linamshikilia mtoto wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) mkazi wa Kijiji cha Mnete, kilichopo Kitongoji cha Chiano, Kata ya Nalingu, ...Padri aliyetuhumiwa kubaka mtoto wa miaka 12 ashinda kesi
Mahakama mkoani Kilimanjaro imetupilia mbali shitaka linalomhusu Paroko wa Parokia teule ya Mtakatifu Dionis Arobagita ya Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, Padri ...Mtoto wa miaka 14 ashtakiwa kwa madai ya kubaka mtoto mwenzake
Mtoto mwenye umri wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) mkazi wa Mji mdogo wa Katoro Wilaya ya Geita mkoani Geita amefikishwa mbele ya ...Mtoto aliyesaidiwa matibabu ya ngozi na Rais Samia atoka hospitali
Mtoto Aminu Baranyikwa (15) aliyesaidiwa matibabu ya ngozi na Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiwa ziarani mkoani Kagera ameruhusiwa kutoka hospitalini na ...Mtoto afariki akiombewa apone Malaria
Mtoto mmoja aliyejulikana kwa jina la Consolata Charles, mkazi wa Kijiji cha Mkuyuni, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi amefariki dunia nyumbani kwa ...Mtoto amuua mama wa kambo kisa mali za baba yake
Watu watatu akiwemo mama mjamzito wameuawa katika kitongoji cha Kilimahewa, kata ya Ludete katika mji mdogo wa Katoro mkoani Geita ambapo wawili ...