Tag: mtoto
Mtoto amuua mama wa kambo kisa mali za baba yake
Watu watatu akiwemo mama mjamzito wameuawa katika kitongoji cha Kilimahewa, kata ya Ludete katika mji mdogo wa Katoro mkoani Geita ambapo wawili ...Baba aliyembaka binti yake asema alijua ni mkewe
Mahakama ya Wilaya ya Mpanda imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Augustino Michese (59) kwa kosa la kumbaka binti yake wa kumzaa ...Mexico yasitisha kumpeleka mtoto wa El Chapo nchini Marekani baada ya watu 29 kuuawa
Jaji kutoka Mexico City amesitisha zoezi la kumpeleka nchini Marekani Joaquín ‘El Chapo’ Guzmán, ambaye ni mtoto wa mfanyabiashara mkubwa wa dawa ...Amuua mkewe baada ya kuambiwa mtoto si wake
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina Abdallah anatafutwa na Jeshi la Polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kumuua mkewe, Pili Mang’ota (38) mkulima ...Sababu 6 za kwanini mtoto wako analia kwa muda mrefu usiku
Baadhi ya wazazi huchukulia hali ya kawaida kwa watoto wao kulia nyakati za usiku, huku wengine wakiihusisha na imani mbalimbali bila kujua ...Kijana akamatwa kwa tuhuma za kuiba mtoto tangu mwaka 2020
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Baraka Masunzu mkazi wa Kibondo mkoani Kigoma amekamatwa mkoani humo kwa tuhuma za kuiba mtoto tangu ...