Tag: mtoto
Mtoto aharibiwa mkono kwa uzembe wa madaktari
Mtoto Nassoro Rashid (1) amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na kupata madhara ya kiafya ambayo wazazi ...Mtoto (14) asimulia alivyobakwa na baba yake mzazi
Mahakama ya Wilaya ya Chunya koani Mbeya imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela, Ayub Jackson (34), mkazi wa Kijiji cha Mlima Njiwa ...Mtoto anywa sumu baada ya kufokewa na baba yake kisa Punda
Mtoto mmoja amekutwa amefariki kwa kunywa sumu wilayani Makete, mkoa wa Njombe baada ya kufokewa na baba yake aliyekuwa akimuonya baada ya ...Daktari ahukumiwa miaka 25 jela kumnajisi mtoto
Daktari Jean de Dieu Maniriho kutoka Musanze nchini Rwanda, amehukumiwa kifungo cha miaka 25 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumnajisi ...Mwanaume wa miaka 40 adai ni mtoto wa Vera Sidika
Mwanamume mmoja (40) kutoka kaunti ya Busia nchini Kenya amejitokeza hadharani na kudai kuwa yeye ni mtoto wa mwanamitindo maarufu na mfanyabiashara ...Serikali kuja na mkakati wa kupunguza vifo vya mama na mtoto
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kufikia mwaka 2025 Serikali inakusudia kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa kujenga majengo ya mama na ...