Tag: Mtuhumiwa
Mtuhumiwa wa wizi afariki mikononi mwa Polisi
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu kifo cha mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Kibabu Msese ...Polisi adaiwa kumjeruhi sehemu za siri mwanafunzi kwa tuhuma ya wizi wa ‘laptop’
Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT) kilichopo Mkoani Mwanza, Warren Lyimo anadaiwa kupigwa na kuvunjwa korodani na askari kutoka Jeshi ...Wananchi wachoma moto nyumba ya mwenyekiti kwa madai anawaonea
Wananchi wa Kitongoji namba 2, Kata ya Mwakitolyo Wilaya ya Shinyanga wamechoma nyumba ya Mwenyekiti wa kitongoji hicho, Shabani Zoro na kuvunja ...Baba amuua mwanae kisa kung’oa karanga
Mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Sikujua Simchimba, mkazi wa Kijiji cha Chizumbi, Kata ya Ukwile wilayani Mbozi mkoani Songwe anadaiwa kumpiga ...Fahamu haki za mtuhumiwa anapokamatwa na polisi
Mara nyingi watu wamekuwa wakikamatwa, na katika matukio hayo huenda wakamataji wakakiuka haki za anayekamatwa ambaye pia huenda asijue kwa sababu hajui ...