Tag: Muhimbili
Daktari feki akamatwa Muhimbili akifanya utapeli
Hospitali ya Taifa Muhimbili imemkamata mkazi wa Mbagala mkoani Dar es Salaam aliyejitambulisha kwa jina la Mussa Mawa akijihusisha na utapeli kwa ...Mzee ‘aliyepigwa’ risasi na Polisi kukatwa mguu, IGP aagiza uchunguzi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillius Wambura amemtuma Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kufuatilia tukio la mzee ...Prof. Janabi aeleza utaratibu wa kufuatwa familia ya Mshale ipewe mwili wa marehemu
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Prof. Mohammed Janabi ameitaka familia ya marehemu Swalehe Mshale (74) kufika katika uongozi wa hospitali ...Mmoja wa mapacha waliotenganishwa afariki
Neema, mmoja wa mapacha waliotenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Julai 1, 2022 amefariki dunia. Muhimbili imeeleza kuwa Neema na Rehema walifanikiwa ...