Tag: mume
Adai kukatwa mkono na mumewe baada ya kuchelewa kurudi nyumbani
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamtafuta Charles Peter mkazi wa Kata ya Mwendakulima, Manispaa ya Kahama mkoani humo kwa tuhuma za kumkata ...Mama adaiwa kumteka mtoto wake ili mume atoe milioni 20
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limesema linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumteka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitano, mwanafunzi ...Akamatwa kwa tuhuma ya kumuua mumewe kwa rungu akiwa amelala
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa linamshikilia Aurelia Kalolo (40), mkazi wa Kijiji cha Ukumbi, Wilayani Kilolo, kwa tuhuma za kumuua mume ...Mume amkata mke mkono na titi kisa namba ya mwanaume mwingine
Maria Marwa mkazi wa Kijiji cha Isango wilayani Rorya mkoani Mara amekatwa mkono na Titi na mumewe aliefahamika kwa jina la Werema ...Mume kizimbani kwa kutishia kumuua mke kisa kupeleka chakula kwa mchungaji
Joseph Moses dereva wa ‘bodaboda’ mkazi wa Mbeya anayekabiliwa na shtaka la kutishia kumuua mkewe kwa maneno, Irene Mwaikana, ameiambia mahakama kuwa ...