Tag: mwanafunzi
Mwanafunzi atolewa korodani baada ya kupigwa na walimu wake
Polisi katika Kaunti ya Kisii nchini Kenya wanawasaka walimu wa Shule ya Sekondari ya Nyabisia huko Bobasi kutokana na adhabu kali ya ...Ahukumiwa kifungo cha maisha mara mbili kwa kumlawiti mwanafunzi
Emanuel Gwandu (21) amehukumiwa kifungo cha maisha mara mbili jela pamoja na kulipa fidia ya TZS milioni 5 baada ya kukutwa na ...Mama amchoma mwanae mikono kisa TZS 30,000
Katika hali ya kushangaza mwanafunzi wa Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Shahende, Kata ya Butobela wilaya ya Geita mkoani Geita ...Mwanafunzi ajinyonga mwalimu kumtaka anyoe nywele
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Langalanga, Shamamcy Wanjiru (17) amekutwa amejinyonga ndani ya nyumba yao eneo la ...Mchungaji jela miaka 30 kwa kumbaka mwanafunzi
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Jimbo la Chalinze Dayosisi ya Morogoro, Boniface Mgalula amehukumiwa kwenda jela miaka 30 ...Mwanafunzi ajifungua katika chumba cha mtihani
Mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Kulimi, Kata ya Kulimi wilayani Maswa, mkoa wa Simiyu amejifungua katika chumba cha ...