Tag: mwanafunzi
Mwanafunzi ajiteka mwenyewe ili kupata fedha kwa wazazi
Polisi nchini Kenya wamemkamata mwanafunzi wa ya Udaktari, Edwin Kamau (23), ambaye anadaiwa kuwa ametekwa kwa nia ya kujipatia pesa kutoka kwa ...Mwanafunzi wa chuo ajifungua na kumtupa mtoto nyuma ya nyumba
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza aliyetambulika kwa jina moja la Judith amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi akidaiwa kujifungua ...Polisi adaiwa kumjeruhi sehemu za siri mwanafunzi kwa tuhuma ya wizi wa ‘laptop’
Mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT) kilichopo Mkoani Mwanza, Warren Lyimo anadaiwa kupigwa na kuvunjwa korodani na askari kutoka Jeshi ...Mwanafunzi atembea zaidi ya kilomita 50 kwenda shuleni
Marisela Muthoni mwanafunzi anayetoka kwenye familia duni katika kijiji cha Gaseuni, Kaunti ndogo ya Tharaka-Nithi nchini Kenya, na kufanya vizuri katika mtihani ...Mwanafunzi mtoro amponza Mtendaji Kata
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemfikisha mahakamani Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nkinga wilayani Igunga, Salama Habibi Ziada kwa ...