Tag: mwanamke
Jay-Z amfungulia kesi mwanamke aliyemtuhumu kwa ubakaji
Mwanamuziki Jay-Z amemshitaki mwanamke aliyefuta kesi aliyomtuhumu kwa ubakaji baada ya tuzo za MTV Video Music Awards za mwaka 2000 akiwa na ...Polisi wamsaka mwanamke kwa tuhuma za kumuua mchepuko wa mume wake
Polisi mjini Kisumu nchini Kenya wanamsaka mwanamke anayedaiwa kumchoma kisu na kumuua mwanamke mwingine aliyeshukiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mume ...Mwanamke akiri kuua mtoto wa miaka 12 Arusha
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma (12) mkazi wa kwa ...Mambo 6 ya kufanya kumrudisha mwanamke aliyekukataa
Kwanza kabisa, ni muhimu kutambua kwamba unapaswa kuheshimu uamuzi wa mwanamke na kuheshimu mipaka yake. Kukubali kukataliwa ni sehemu ya kukua na ...Mwanamke akamatwa kwa kupeleka maiti benki ili asaini mkopo
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Érika de Souza Vieira Nunes wa nchini Brazil amekamatwa baada ya kupeleka maiti benki, akitumaini kwamba ...Mwanamke akiri kumnywesha sumu mtoto mchanga wa jirani yake
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia mwanamke aliyetajwa kwa jina la Wande Shija, mkazi wa Mtaa wa Mbagala B, Kitongoji cha Magharibi ...