Tag: mwanamke
Njia 10 za kumwelewa Mwanamke
Kumwelewa mwanamke kunahusisha kuchukua muda kujifunza kuhusu yeye binafsi, kuthamini tofauti zao, na kujenga mawasiliano mazuri. Mara nyingi, mwanamke anaweza kuonyesha hisia ...Mwanamke wa miaka 70 ajifungua mapacha
Mwanamke mmoja kutoka nchini Uganda mwenye umri wa miaka 70 amejifungua mapacha baada ya kupata ujauzito kupitia matibabu ya kupandikiza (IVF), na ...Mwanamke ashtakiwa kwa kuiba majeneza mawili
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameshtakiwa kwa tuhuma za kuiba majeneza mawili na vishikio 26 vya majeneza kutoka kwenye kituo cha uuzaji majeneza ...Tarime: Auawa kwa kisu akigombania mwanamke baa
Mkazi wa Kijiji cha Sirari, wilaya ya Tarime mkoani Mara, John Nyamesati ameuawa kwa kuchomwa kisu wakati akigombea mwanamke baa kisha mtuhumiwa ...Chama tawala Namibia chamchagua mgombea Urais mwanamke
Chama tawala nchini Namibia kimemchagua Netumbo Nandi-Ndaitwah kuwa Makamu wa Rais wa chama hicho, na hivyo kumweka katika mstari wa kuwa mgombea ...Mwanamke akamatwa akijaribu kupenyeza bangi kwa mumewe aliyeko gerezani
Mwanamke mmoja nchini Kenya, Caroline Imenza amekamatwa siku ya Jumapili kwa kujaribu kupenyeza bangi kwa mumewe ambaye alikuwa chini ya ulinzi wa ...