Tag: mwanaume
Baba aliyeua watoto wake watatu ahukumiwa miaka 150 jela
Mahakama Kuu ya Bomet nchini Kenya imemhukumu kifungo cha miaka 150 jela mwanaume aitwaye Benard Kipkemoi Kirui mwenye umri wa miaka 40 ...Adaiwa kumkata vipande mke wake baada ya kumfumania na mwanaume mwingine
Mwanaume anayejulikana kwa jina la John Kiama Wambua anashikiliwa na polisi nchini Kenya kwa tuhuma za kumuua kikatili mke wake, Joy Fridah ...Polisi wamkamata mwanaume aliyeonekana akiwatishia watu kwa silaha
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Derick Derick Junior (36), mkazi wa Salasala, Kinondoni ambaye picha mjongeo (video) ...Mwanaume aliyetuma wanaume 50 kumbaka mke wake akiri mashitaka
Mwanaume mmoja nchini Ufaransa anayeshtakiwa kwa kumuwekea dawa za kulevya mke wake na kuwaruhusu wanaume takribani 50 kumdhulumu kingono akiwa amelala katika ...Mwanaume, fanya mambo haya 10 uonekane ‘gentleman’ kwenye uhusiano
Mwanaume muungwana (gentleman) ni mtu ambaye ana mwenendo mzuri na wa heshima. Pia, muungwana ana sifa fulani zinazowatofautisha na wanaume wengine. Kuwa ...Mbinu 6 za kuishi na mwanaume mwenye wivu uliopitiliza
Zungumza naye Kuwa na wivu inamaanisha kuna kitu ambacho kinamsumbua, kitu ambacho anahisi utakifanya. Tafuta muda ambao ametulia na umwambie namna ambavyo ...