Tag: Mwanza
Wanaume wawili waliovalia mavazi ya kike wauawa na Polisi katika tukio la ujambazi Mwanza
Watu wawili wa jinsia ya kiume wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa eneo la Kabambo, Kata ya Kiseke, Tarafa ya Ilemela mkoani Mwanza ...Polisi: Taarifa za uwepo wa mbakaji ‘Teleza’ ni uvumi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limewaonya wananchi waliotaka kumshambulia mwananchi mmoja wakimtuhumu kuwa ni mbakaji maarufu kwa jina la ‘Teleza’. Taarifa ...Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi kushiriki maandamano Mwanza
Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa amethibitisha kushiriki katika maandamano ya ...Kanisa lamshtaki DC Nyamagana, Mahakama yampa siku tano
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imempa siku tano Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi kuwasilisha mahakamani kiapo kinzani kuhusu shauri la ...Mwanza: Watu sita wafariki kwa kugongwa na gari wakifanya mazoezi
Watu sita wamefariki papo hapo na wengine 14 kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Hilux namba T476 DZL wakati ...Msichana wa kazi ashitakiwa kwa tuhuma za kumuua bosi wake
Msichana wa miaka 15, anayejulikana kwa jina la Sarah Mwendesha amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilemela kwa tuhuma ...