Tag: Mwanza
Kamanda aeleza mbinu zinazotumiwa na wanawake kuiba watoto Mwanza
Kutokana na matukio yaliyokithiri ya wizi wa watoto wadogo mkoani Mwanza, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Wilbroad Mutafungwa amefichua mbinu zinazotumiwa na ...Mtoto aharibiwa mkono kwa uzembe wa madaktari
Mtoto Nassoro Rashid (1) amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kutokana na kupata madhara ya kiafya ambayo wazazi ...Kamishna TRA akana kukwapua eneo la makazi ya wananchi Mwanza
Baada ya wananchi mkoani Mwanza kudai kuchukuliwa kwa eneo la makazi ya Isamilo na kupewa vigogo 39 bila ya kupewa fidia yoyote, ...Vigogo 39 wadaiwa kukwapua eneo la wananchi Mwanza, waziri aingilia kati
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula ameagiza wizara kufanya uchunguzi juu ya madai ya vigogo 39 waliomilikishwa eneo ...Takwimu zaonesha wanawake wanaongoza matumizi ya dawa za kulevya
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limesema idadi ya wanawake wanaotumia dawa za kulevya mkoani humo inaongezeka zaidi ikilinganishwa na idadi ya wanaume. ...Waishio milimani Mwanza kuondolewa kupisha mwekezaji kutoka Brazil
Wakazi waishio maeneo ya mlimani jijini Mwanza wanatarajiwa kuhamishwa katika maeneo hayo ili kupisha wawekezaji kutoka nchini Brazili ambao wanatarajia kuwekeza kwenye ...