Tag: Mwendesha Mashitaka
Maneno ya Abdul Nondo baada ya kufutiwa kesi
Mahakama ya Rufani Tanzania, Masjala ya Iringa imefuta kesi iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP). Abdul Nondo alikuwa ...Wakili wa serikali akamatwa kwa tuhuma ya rushwa
TAKUKURU Mkoa wa Manyara inamshikiliwa Mwendesha Mashitaka wa mkoa huo, Mutalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya TZS milioni ...