Tag: Mwendokasi
Waziri atoa siku nne huduma ya Mwendokasi irejee kote
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe ametoa muda siku nne huduma ya mabasi ya mwendokasi irejee ...LATRA: Haturidhishwi na huduma zitolewazo na Mwendokasi
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imesema hairidhishwi na huduma za mabasi yaendayo haraka (UDART) na ndiyo sababu ongezeko la nauli ...Barabara za mwendokasi kufungwa vizuizi vya umeme kuzuia magari binfasi
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka mkoani Dar es Salaam (DART) unatarajia kuweka vizuizi kwenye vituo vyake vya mabasi ili kuzuia magari na ...Ujenzi wa mwendokasi Mbagala-Gerezani wafikia 66%
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema ujenzi wa mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT II), awamu ya pili kutoka ...Ujenzi wa Mwendokasi Gongolamboto kuanza
Kaimu Meneja wa Mipango na Usafirishaji wa Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART), Mohamed Kuganda amesema ujenzi wa miundombinu ya mradi wa ...








