Tag: NCCR Mageuzi
NCCR Mageuzi yasema haiko tayari kuungana na vyama vingine Uchaguzi Mkuu
Chama cha NCCR- Mageuzi kimetangaza kwamba hakina mpango wa kushirikiana na chama chochote katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 na kimethibitisha kushiriki ...NCCR Mageuzi yadai Mbatia ameuza mali za chama
Chama cha NCCR Mageuzi kimemtuhumu aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuuza mali za chama kiholela ikiwemo nyumba, kwa maslahi binafsi. ...NCCR-Mageuzi: Dkt. Slaa na wenzake wasikichafue chama chetu
Kufuatia sintofahamu iliyojitokeza ikihusisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha NCCR- Mageuzi ambapo CHADEMA imedai NCCR- Mageuzi iliandaa mkutano ...Ofisi ya Msajili: Mbatia asijihusishe na siasa
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imemsimamisha James Mbatia na sekretarieti yake yote kutojihusisha na siasa ndani ya chama cha NCCR ...CHADEMA: Tunamtambua Mbatia kama Mwenyekiti NCCR-Mageuzi
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ameiomba mamlaka zinazohusika kusimamia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ...NCCR Mageuzi yamsimamisha Mbatia
Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na Makamu Mwenyekiti Bara, Angelina Mtahiwa kutojihusisha na shughuli ...