Tag: nchini
Denmark yasitisha mpango wa kufunga ubalozi wake nchini
Serikali ya Denmark imebatilisha uamuzi wa kufunga ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo mwaka 2024. Katika taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya ...Vifo vya uzazi nchini vimepungua kwa asilimia 80
Rais Samia Suluhu Hassan amesema vifo vinavyotokana na uzazi kwa akina mama vimepungua kutoka vifo 530 kwa kila vizazi hai 100,000 mwaka ...Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yaanza kutumika nchini
Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametangaza kuwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2023 iliyosainiwa ...Serikali yatenga bilioni 9 kukamilisha ujenzi wa vituo vya Zimamoto nchini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga shilingi bilioni 9.93 kwa ajili ya kukamilisha miradi ya ujenzi wa vituo saba vya Jeshi ...Thamani ya uwekezaji nchini yakua kufikia TZS trilioni 19
Takwimu za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zimeonesha thamani ya uwekezaji uliofanyika nchini katika kipindi cha miaka miwili imeongezeka kwa asilimia 173. ...Maambukizi ya UVIKO-19 yaongezeka nchini
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema maambukizi ya UVIKO-19 yanaongezeka nchini hivyo ni vyema Watanzania wakajitokeza kupewa chanjo ili kupunguza makali ya ...








