Tag: Ngono
Daktari: Mtu mmoja anatakiwa kufanya ngono mara tatu kwa wiki
Wanaume wanaopenda kufanya ngono mara kwa mara wanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kufariki mapema tofauti na wanaume ambao hawafanyi kitendo hicho mara ...Njia 5 za kujikinga dhidi ya magonjwa ya zinaa
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), zaidi ya watu milioni moja duniani kote wanaambukizwa magonjwa ya zinaa kila siku. Magonjwa ...Wanaoishi na VVU washauriwa kuacha ngono zembe
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi kutoacha kutumia dawa za kufubaza virusi vya ugonjwa huo (ARVs) ...Je! Unatakiwa kumwambia mwenza wako idadi ya uliofanya nao ngono?
Kumuuliza mpenzi wako kuhusu historia yake ya ngono inaweza kuwa kama kutazama filamu ya kutisha, unataka kujua kinachoendelea lakini pia hutaki kujua. ...Mambo yanayokuweka kwenye hatari ya kuugua ugonjwa wa Ini
Virusi vya homa ya ini vipo vya aina 5 (A,B,C,D,E). Aina mbili za virusi (B Na C ) zimetajwa kuwa ndio sababu ...Namna ngono ya mdomo inavyoeneza maambukizi ya UKIMWI
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya DARE, Dkt. Lilian Benjamin ameishauri jamii kuachana na ngono kwa njia ya mdomo kwa kuwa inachangia maambukizi ...