Tag: Ngorongoro
Rais Samia kuunda Tume kushughulikia suala la Ngorongoro
Rais Samia kuunda Tume kushughulikia suala la Ngorongoro Rais Samia Suluhu amesema ataunda Tume mbili ambapo moja itachunguza na kutoa mapendekezo kuhusu ...Wakazi wa Ngorongoro wadai kutishiwa wasizungumze na vyombo vya habari
Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji Ngorongoro mkoani Arusha, Edward Maura amesema wakazi wa eneo hilo wamekuwa wakipata vitisho mbalimbali ili wasizungumze na ...Mbunge ashikiliwa kwa shambulizi dhidi ya waandishi wa habari Ngorongoro
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu kadhaa akiwemo Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai kwa tuhuma za kuhusika na shambulizi ...Barua ya Profesa Shivji kwa Rais Samia
Kwa heshima na taadhima pokea barua yangu nikikutumia kwa nia njema na katika kutekeleza wajibu wangu kama mwananchi na mwanazuoni kwa mujibu ...Wanaohama Ngorongoro kwa hiari wamshukuru Rais Samia
Baadhi ya wakazi wa Ngorongoro mkoani Arusha ambao wameamua kuhama kwa hiari kwenye eneo la Hifadhi ya Ngorongoro wamemshukuru Rais Samia Suluhu ...IGP Sirro: Wanasiasa acheni kuhamasisha uvunjifu wa amani Loliondo
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema zoezi la uwekaji alama kwenye Pori Tengefu la Loliondo wilaya ya Ngorongoro mkoani ...