Tag: NIDA
Akamatwa kwa tuhuma za kughushi kadi za NIDA
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Consolata Mwasege (47), mfanyabiashara na mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ...Waziri Bashungwa aipa NIDA miezi miwili vitambulisho viwafikie wananchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni ...NIDA: Kitambulisho kikiisha muda unatakiwa kujaza fomu ya kuhuisha
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewatoa hofu Watanzania ambao vitambulisho vyao vinakwisha muda wa matumizi mwakani kuwa taarifa za utambulisho wao ...