Tag: Nigeria
Raia 76 wa Ghana waliodanganywa kupewa ajira Nigeria waokolewa
Jeshi la Polisi la Ghana limethibitisha kuwa limewaokoa raia 76 wa Ghana waliokuwa wamesafirishwa kwenda nchini Nigeria kupitia mpango wa udanganyifu wa ...Mfumuko wa bei Nigeria wazidi kupanda na kufikia 27.33%
Wananchi wa Nigeria wanakabiliana na changamoto kubwa kutokana na ongezeko la mfumuko wa bei, ambao umefikia asilimia 27.33 mwezi Oktoba ikilinganishwa na ...Mtanzania aliyetekwa Nigeria aachiwa huru
Frateri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Merikiori Mahinini (27) aliyekuwa ametekwa nyara na watu wasiojulikana nchini Nigeria ambako alipelekwa na Shirika ...Mtanzania atekwa Nigeria, wataka milioni 170 kumuachia huru
Frateri Mtanzania atekwa Nigeria, wataka milioni 170 kumuachia huru Frateri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Melkiori Mahinini (27) ametekwa nyara na ...Mwanafunzi ajiua baada ya kuliwa ada ya chuo kwenye kamari
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Federal Polytechnic, Ilaro (FPI) nchini Nigeria amejiua baada ya kutumia ada yake ya chuo na ya mwanafunzi ...Rais Mteule wa Nigeria aenda mapumziko Ulaya
Rais Mteule wa Nigeria, Bola Tinubu amesafiri hadi nchini Ufaransa na Uingereza ili kupumzika na kupanga mpango wa mpito kabla ya kuapishwa ...








