Tag: nyumbani
Adai kukatwa mkono na mumewe baada ya kuchelewa kurudi nyumbani
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamtafuta Charles Peter mkazi wa Kata ya Mwendakulima, Manispaa ya Kahama mkoani humo kwa tuhuma za kumkata ...Watakaojifungulia nyumbani faini TZS 50,000
Serikali ya Kijiji ya cha Marumba kilichopo wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara imeanza kuwapiga faini ya shilingi 50,000 akina mama wote watakaobainika kujifungulia ...