Tag: polisi
Polisi: Taarifa za uwepo wa mbakaji ‘Teleza’ ni uvumi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limewaonya wananchi waliotaka kumshambulia mwananchi mmoja wakimtuhumu kuwa ni mbakaji maarufu kwa jina la ‘Teleza’. Taarifa ...Watu tisa wajeruhiwa kwa moto Songwe, Polisi yamshikilia mmoja
Watu tisa wamejeruhiwa kwa moto walipokuwa wakijaribu kuokoa mali kwenye duka la kuhifadhi na kuuza vinywaji vya jumla na reja reja katika ...Polisi Arusha watoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya
Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Arusha wametoa mitaji kwa warahibu wa dawa za kulevya ambao wanapatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ...Polisi: Tunachunguza kubaini kwanini Mwanasheria Lusako alikimbia wakati si yeye tuliyemfuata
Kufuatia taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayodai Askari Polisi kuvamia ofisi za Taasisi ya Reach Out Tanzania iliyopo eneo la Makumbusho ...Askari watatu, mgambo mbaroni kwa mauaji Tabora
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linawashikilia askari watatu wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) pamoja na mgambo wanne kwa tuhuma za kusababisha ...Polisi: Nondo amechukuliwa na Landcruiser nyeupe, tunaendelea kuchunguza
Baada ya taarifa ya Chama Cha ACT Wazalendo kudai kuwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho, Abdul Nondo kutekwa leo ...