Tag: polisi
Adaiwa kuua mtoto ili kulipiza kisasi kwa mama yake
Polisi Mkoani Njombe wanamshikilia Hapiness Mkolwe (27) kwa tuhuma za kumuua mtoto Jackson Kiungo (6) mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ...Wakamatwa kwa kulaghai na kuwaibia wanawake kwa kutumia madawa
Polisi mkoani Morogoro wanawashikilia watu wawili , Paulo Erick (48) maarufu Shayo na Dickson Mashamu (35) maarufu kwa jina la Tajiri Masu ...Polisi wafuta kesi 1,840 kwa kukosa ushahidi
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai kuhakikisha unafanyika upelelezi ikiwa ni pamoja na ...Auawa na Polisi kwa kuwashambulia kwa mishale yenye sumu
Mkazi wa kijiji cha Chioli, kata ya Songolo wilayani Chemba, Mkoa wa Dodoma, Nada Songo (45), ameuawa na Jeshi la Polisi akidaiwa ...Dereva adaiwa kumuua kondakta wake kisa wivu wa mapenzi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia dereva wa daladala, Maarifa Matala (45) mkazi wa Kimara Suka, Wilaya ya ...Kizz Daniel akamatwa na Polisi
Msanii maarufu kutoka nchini Nigeria, Kizz Daniel amekatwa na Polisi kutokana na kutotumbuiza katika tamasha la ‘Summer Amplified’ lililofanyika Jumapili 7, 2022 ...