Tag: polisi
IGP Wambura afanya mabadiliko makamanda wa polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amefanya mabadiliko madogo ili kujaza nafasi zilizokuwa wazi baada ya Amiri Jeshi Mkuu ...Vielelezo vya wizi vyaibwa Kituo cha Polisi, Polisi wachangishana kulipa
Polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi Uchira, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wanachangishana kumlipa shilingi 560,000 mkazi ...Amuua baba mkubwa na mkewe akidai wanamloga
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema Polisi wanamshikilia Jonas Mushi mkazi wa Manushi wilayani Moshi kwa tuhuma za kumuua ...Watu 19 wauawa nchini Afrika Kusini
Takriban watu 15 wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wenye sialaha katika baa moja iliyopo kitongoji cha Soweto nchini Afrika Kusini siku ...Mtuhumiwa wa mauaji wa kukodi auawa na polisi
Mtuhumimiwa wa mauaji ya kukodiwa, Heleni Nyankole maarufu Beberu (36), Mkazi wa Kijiji cha Kapanga wilayani Tanganyika ameuawa kwa kupigwa risasi na ...Uchunguzi: Polisi wanawajeruhi raia wakati wa ukamataji na upelelezi
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesema uchunguzi umebaini baadhi ya watuhumiwa kupata madhara ya mwili na wakati mwingine ...