Tag: polisi
Wapenzi wachapwa viboko hadharani baada ya video ya ngono kuvuja
Polisi nchini Ghana imewakamata washukiwa watatu kwa kosa la kuwachapa viboko hadharani wapenzi kwa madai ya mkanda ya ngono kuvuja na kusambaa ...Mwanamke aliyejifungua atolewa figo kimakosa badala ya Uterasi
Polisi wilayani Mubende nchini Uganda wanachunguza madaktari katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa baada ya kudaiwa kutoa figo ya mama aliyejifungua wakati ...Akamatwa kwa kujaribu kukata sehemu za siri za dereva teksi
Mwanaume mmoja huko Chimoio katikati mwa Msumbiji, anashikiliwa na Polisi baada ya kukiri kujaribu kukata sehemu za siri za dereva wa teksi. ...Arusha: Wananchi washambuliwa na mawe kutoka kusikojulikana
Wakazi wa Kijiji cha Kiwawa Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha wameingia kwenye taharuki baada ya mawe kurushwa kwenye maeneo yao na watu ...Mwanamke (56) adaiwa kumbaka mtoto (8), amchubua sehemu za siri
Mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Desderia Mbelwa (56) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Iringa kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa ...Polisi wavunja ‘uti wa mgongo’ wa Panya Road
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema kwa mkoa huo upo Sshwari kufuata operesheni kabambe ya kuwakamata Panya Road ...