Tag: polisi
Polisi: Nondo amechukuliwa na Landcruiser nyeupe, tunaendelea kuchunguza
Baada ya taarifa ya Chama Cha ACT Wazalendo kudai kuwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho, Abdul Nondo kutekwa leo ...Polisi: Taarifa kuhusu viongozi wa upinzani kufanyiwa uhalifu ni za kutengeneza
Jeshi la Polisi nchini limesema taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikieleza viongozi wa upinzani kufanyiwa vitendo visivyofaa hazina ukweli wowote bali ...Dereva Bodaboda ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Stephen Chalamila
Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanaume mmoja dereva wa Bodaboda kwa tuhuma za mauaji ya Stephen Evaristo Chalamila (23) mkazi wa ...Polisi yawashikilia watoto waliovunja vioo vya SGR kwa mawe
Jeshi la Polisi limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kuvunja vioo viwili vya treni ya Reli ya Kisas ya Umeme (SGR) kwa ...Polisi: Tutawakamata waliojaribu kumkamata kwa nguvu mfanyabiashara
Jeshi la Polisi nchini limesema litawakamata watu walioonekana kwenye picha mjongeo wakijaribu kumkamata na kujaribu kumwingiza kwenye gari kwa nguvu Deogratius Tarimo, ...Ufafanuzi wa Polisi kuhusu kifo cha mgombea Uenyekiti kupitia CHADEMA
Jeshi la Polisi limefafanua juu ya kifo cha Joseph Remigius (52) mkazi wa Kijiji cha Karagara, Wilaya ya Misenyi mkoani Kagera ambaye ...