Tag: polisi
Polisi wamsaka mwanamke aliyemnywesha pombe mtoto
Jeshi la Polisi limesema linamsaka mwanamke aliyeonekana kwenye picha mjongeo inayosambaa katika mitandao ya kijamii akimhamasisha na kumnywesha pombe mtoto. Taarifa iliyotolewa ...Polisi wamsaka kijana anayedaiwa kuua ndugu zake Kenya
Polisi wa Ol Kalou nchini Kenya wanamsaka kijana mwenye umri wa miaka 27 anayetuhumiwa kuwaua ndugu zake na kuwajeruhi watoto wawili kwa ...Muliro: Tumewakamata waliobandika ‘SSH 2530’ kwenye vyombo vya moto
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema baadhi ya wamiliki wa vyombo vya moto wamekamatwa kwa kosa ...Polisi: Tunachunguza mwimbaji wa Injili kudaiwa kuchukuliwa na wasiojulikana Geita
Jeshi la Polisi mkoani Geita limesema linachunguza na kufuatilia kwa ukaribu tukio la mwimbaji wa nyimbo za injili, Elisha Juma, mkazi wa ...Polisi: Tumemkamata Ebitoke akiwa kwenye hali ya kuchanganyikiwa
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara limesema limemkamata Anastanzia Exavery Mahatane (27), maarufu Ebitoke katika fukwe za Msanga Mkuu, Mjini Mtwara akiwa katika ...Polisi yaua majambazi watatu Kigoma
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma limesema watu watatu waliokuwa majambazi wameuawa baada ya majibizano ya risasi na Askari Polisi wakati wakifanya jaribio ...








