Tag: polisi
Jeshi la Polisi: Tumeanza kufanya uchunguzi kupotea kwa Shadrack
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema limeanza kufanya ufuatiliaji na uchunguzi wa taarifa ya kupotea kwa kijana Shadrack Chaula (24) mkazi ...Waziri Masauni: Sativa hatoi ushirikiano wa kutosha kwa polisi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masaud amesema mwathirika wa vitendo vya utekaji, Edgar Edson Mwakabela (27) maarufu kama Sativa ...Rais Ruto awaongeza mishahara maafisa polisi na magereza
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza kuwa nyongeza ya mishahara kwa maafisa wa polisi, magereza na maafisa wengine wa mashirika ya usalama ...Dada wa kazi aliyemjeruhi kooni mtoto wa bosi ashikiliwa na polisi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linamshikilia Clemensia Mirembe (19) ambaye ni Dada wa kazi za nyumbani kwa kosa ...Jeshi la Polisi lapiga marufuku kampuni za ulinzi kutumia Gobore
Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku kampuni binafsi za ulinzi kutumia silaha zilizotengenezwa kienyeji aina ya gobore kinyume na sheria. Akitoa taarifa ...Mtu mmoja afariki Polisi wakidhibiti wavamizi mgodi wa North Mara
Mtu mmoja amefariki na askari mmoja kujeruhiwa wakati Jeshi la Polisi likiwazuia wananchi ambao lengo lao lilikuwa kuingia ndani ya mgodi wa ...