Tag: polisi
Bodaboda Tanga wachoma basi la Saibaba lililomgonga mwenzao
Basi la Kampuni ya Saibaba Express lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea mkoani Arusha limechomwa moto na kundi la bodaboda katika Kata ...Polisi kufanya msako wa magari yaliyofungwa ving’ora na yaliyoongezwa taa
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Ramadhani Ng’anzi ameagiza kikosi cha usalama barabarani kukamata magari yote ...Polisi: Tunawasaka waliozusha taarifa za mauaji ya raia wa Kihindi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya jamii kuwa kuna raia watatu wenye asili ...Polisi wamshikilia aliyemkata kichwa mtoto wake
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Amedius Mfoi (25) dereva bodaboda mkazi wa Muriet Jijini Arusha kwa tuhuma ...Polisi: Mtoto atakayepotea kipinidi cha sikukuu, mzazi atachukuliwa hatua
Jeshi la Polisi limetangaza kuwa kuanzia hivi sasa, mtoto yeyote atakayepotea, kunyanyasika au kutokuwa na usimamizi katika kipindi hiki cha sikukuu, mzazi ...Waliojifanya maafisa TRA Arusha wakamatwa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kujifanya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutapeli ...