Tag: polisi
Hatua 6 za kuzingatia unapoitwa kwenye mahojiano na polisi
Kuitwa polisi ni hali inayoweza kutokea kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na uchunguzi wa makosa, kutoa taarifa, au kutoa ushahidi. Ikiwa ...Mama mbaroni kwa kutupa mapacha baada ya kujifungua
Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia Roda Peter (30) mkazi wa Kata ya Kihonda, Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma ya kuwaua ...Polisi watilia shaka kujinyonga kwa mwenye ulemavu wa mikono na miguu
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linasema linatilia shaka tukio la kujinyonga kwa binti Samia Ahmed Mohamed (20) mkazi wa Kijiji cha Sinde ...Uzembe wa dereva wasababisha vifo vya watu wanne Chalinze
Watu wanne wamefariki papo hapo baada ya gari yao aina ya Toyota Prado (T 104 CBU) lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea ...Polisi yaanza msako magari yenye namba za 3D na taa ‘tinted’
Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani limesema litaendelea kuwakamata madereva wa magari wanaoweka ‘tinted’ kwenye taa za mbele na nyuma ...Polisi: Wanaodai kutishiwa maisha walete ushahidi
Jeshi la Polisi limesema endapo kuna mtu yeyote ametishiwa maisha kutokana na sababu mbalimbali, afike kituo cha polisi ili awasilishe ushahidi alionao ...