Tag: polisi
Mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo aomba msaada wa polisi wanaohamasisha mgomo
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendela kwa wafanyabiashara wa Soko hilo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi ...Jeshi la Polisi latoa tahadhari kuelekea mchezo wa Simba na Yanga
Kuelekea katika mchezo wa Simba na Yanga Jumapili Aprili 16 mwaka huu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, Jeshi ...Meridianbet Yawaunga Mkono Jeshi la Polisi
Kampuni ya Meridianbet kila iitwayo siku hufikiria watafanya nini kwaajili ya kuwaunga mkono wanaanchi ambapo hii leo wamefika eneo la kawe ambapo ...Anayejiita ‘Yesu’ Kenya akimbilia polisi, wananchi wataka kumsulubisha Pasaka
Mwanaume wa makamo kutoka kaunti ya Bungoma nchini Kenya, Eliud Wekesa anayejiita Yesu wa Bungoma (Yesu wa Tongaren) amezua mjadala mwingine mtandaoni ...Kigoma: Wanafunzi wanne waliozama mtoni wakienda shule asubuhi hawajapatikana
Wanafunzi wanne kati ya sita wa Shule ya Msingi Kagera wanaoakadiriwa kuwa na umri wa miaka 7-14 mkoani Kigoma waliozama na mtumbwi ...IGP Wambura afanya mabadiliko ya makamanda wa polisi wa mikoa
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amemhamisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ...